Thursday 4 June 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 1 month ago

Sukari zaidi ya tani 23 yakamatwa Moshi ikiuzwa kinyume na bei elekezi

Afisa udhibiti kutoka bodi ya sukari Tanzania Bw.Faustine Mgimba amesema wamebaini sukari inauzwa kati ya shilingi 3,400 kwa rejareja tofauti na bei elekezi ya serikali ya kuiuza shilingi 2,700kwa kilo moja na mfuko mmoja wa kilo 50 kuuzwa zaidi ya shilingi 135,000


Latest News
Hashtags:   

Sukari

 | 

zaidi

 | 

yakamatwa

 | 

Moshi

 | 

ikiuzwa

 | 

kinyume

 | 

elekezi

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources