Saturday 30 May 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 1 month ago

TBS yachukua sampuli ya pombe ya Wanyuki.

Shirika la viwango Tanzania (TBS) limechukua sampuli ya pombe inayotengenezwa  kwa ndizi na kiwanda cha Wanyuki kilichopo kijiji cha Leshangai wilayani Siha mkoani Kilimanjaro kwenda kuifanyia ukaguzi katika maabara zake ili kujiridhisha kama inafaa kwa matumizi ya binadamu kabla ya kungizwa sokoni kwa matumizi.


Latest News
Hashtags:   

yachukua

 | 

sampuli

 | 

pombe

 | 

Wanyuki

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources