Thursday 4 June 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 1 month ago

Rais Magufuli ametoa msamaha kwa wafungwa 3,973.

Katika kuadhimisha miaka 56 ya Muungano, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametoa msamaha kwa jumla ya wafungwa 3,973 ambapo kati yake wafungwa 3,717 wamesamehewa vifungo vyao.


Latest News
Hashtags:   

Magufuli

 | 

ametoa

 | 

msamaha

 | 

wafungwa

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources