Saturday 30 May 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 1 month ago

Idadi ya wagonjwa wa Corona Zanzibar yaongezeka.

Wizara ya afya Zanzibar imetoa taarifa ya ongezeko la wagonjwa wapya kumi na tano wa Corona na kufanya jumla ya wagonjwa Zanzibar kufikia 98 kutoka 83 waliotolewa taarifa Aprili 22,2020.


Latest News
Hashtags:   

Idadi

 | 

wagonjwa

 | 

Corona

 | 

Zanzibar

 | 

yaongezeka

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources