Saturday 30 May 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 1 month ago

Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalimu asema wagonjwa 37 wa Corona wamepona.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwa wagonjwa hao 37 ni kati ya wagonjwa 108 waliothibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya Corona lakini hivi sasa hawana.


Latest News
Hashtags:   

Waziri

 | 

Mwalimu

 | 

asema

 | 

wagonjwa

 | 

Corona

 | 

wamepona

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources