Thursday 4 June 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 1 month ago

WHO - Janga la Corona litaendelea kwa muda mrefu.

Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo Dakta Tedros Adhanom Ghebreyesus ameelezea wasiwasi kuwa ingawa janga hilo linaonekana kutulia ama kupungua Ulaya Magharibi, mwelekeo wa uongezekaji wa janga hilo unaonekana Afrika, Amerika ya Kati na Amerika ya Kusini.


Latest News
Hashtags:   

Janga

 | 

Corona

 | 

litaendelea

 | 

mrefu

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources