Saturday 30 May 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 1 month ago

JPM amteua Dkt.Zainab Abdi Chaula kuwa Katibu Mkuu wa Mawasiliano.

Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Zainab Abdi Seraphin Chaula alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na amechukua nafasi iliyoachwa na Dkt. Maria Sasabo ambaye amestaafu.


Latest News
Hashtags:   

amteua

 | 

Zainab

 | 

Chaula

 | 

Katibu

 | 

Mawasiliano

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources