Thursday 4 June 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 1 month ago

Watuhumiwa watatu wakamatwa kwa mauaji ya dereva pikipiki

Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma SACP Gilles Muroto ametoa taarifa hiyo jijini Dodoma na kudai kuwa mauaji hayo yalitokea katika eneo la Area C kata ya Mlimwa ambapo watuhumiwa walimuua bwana Patric Denis na kisha kumpora pikipiki yake.


Latest News
Hashtags:   

Watuhumiwa

 | 

watatu

 | 

wakamatwa

 | 

mauaji

 | 

dereva

 | 

pikipiki

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources