Thursday 4 June 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 2 month ago

Adhabu ya Viboko mwanafunzi apata shida kukaa na kutembea.

Mtoto Clemensia Makankasha  mwenye umri wa miaka kumi na tatu anasema baada ya kuchapwa alipoteza fahamu na kwa sasa hawezi kutembea na kukaa kwa muda mrefu na analazimika kupatiwa msaada na mtu mwingine kila anapohitaji kusogea sehemu moja kwenda nyingine.


Latest News
Hashtags:   

Adhabu

 | 

Viboko

 | 

mwanafunzi

 | 

apata

 | 

shida

 | 

kukaa

 | 

kutembea

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources