Saturday 30 May 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 2 month ago

Mkutano wa wakuu wa nchi EAC wa kujadili corona waahirishwa.

Mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki uliokuwa umepangwa kufanyika  jijini Arusha  kwa njia ya mtandao  kujadili tatizo la corona umeahirishwa baada  ya  nchi  ya  Sudani Kusini  kushindwa  kuhudhuria.
 
 


Latest News
Hashtags:   

Mkutano

 | 

wakuu

 | 

kujadili

 | 

corona

 | 

waahirishwa

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources