Thursday 4 June 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 2 month ago

Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kufuatia vifo vya watu 18.

Ajali hiyo imehusisha basi dogo la abiria (Coaster) lililokuwa likitoka Kijiji cha Magawa Wilayani Mkuranga kwenda Jijini Dar es Salaam ambalo limegongana uso kwa uso na lori la mizigo (Scania) lililokuwa likitoka Dar es Salaam kwenda Mikoa ya Kusini. 


Latest News
Hashtags:   

Magufuli

 | 

atuma

 | 

salamu

 | 

rambirambi

 | 

kufuatia

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources