Saturday 30 May 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 2 month ago

Mbaroni kwa kuchapisha na kusambaza uongo juu ya corona Shinyanga.

Mtu mmoja amekamatwa na Jeshi la polisi mkoani Shinyanga kwa kosa la kuchapisha na kusambaza mitandaoni taarifa za uongo juu ya ugonjwa wa corona.


Latest News
Hashtags:   

Mbaroni

 | 

kuchapisha

 | 

kusambaza

 | 

uongo

 | 

corona

 | 

Shinyanga

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources