Saturday 30 May 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 2 month ago

Maxence Melo jela mwaka mmoja ama faini ya shilingi milioni 3.

Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jamii Forums Maxence Melo ahukumiwa kulipa faini ya shilingi milioni 3 au kwenda jela mwaka mmoja baada ya Mahakama ya Kisutu kumtia hatiani kwa kosa la kuzuia jeshi la polisi kutekeleza majukumu yake.


Latest News
Hashtags:   

Maxence

 | 

mwaka

 | 

mmoja

 | 

faini

 | 

shilingi

 | 

milioni

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources