Saturday 30 May 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 2 month ago

Boris Johnson apata nafuu, hatumii tena mashine yakumsaidia kupumua.

Taarifa kutoka katika Ofisi yake imesema anaendelea vizuri na kwa sasa hajawekewa mashine za kusaidia kupumua katika kipindi hiki ambacho waziri wake wa mambo ya nje anaongoza juhudi za nchi hiyo za kupambana na virusi vya Corona.


Latest News
Hashtags:   

Boris

 | 

Johnson

 | 

apata

 | 

nafuu

 | 

hatumii

 | 

mashine

 | 

yakumsaidia

 | 

kupumua

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources