Thursday 4 June 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 2 month ago

RC Mtwara apiga marufuku wapiga debe kuwavuta abiria

Mkuu wa mkoa wa Mtwara ametoa marufuku hiyo wakati akizindua upigaji wa dawa kwenye magari yaendayo mikoani na wilayani ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona  na magonjwa mengine.


Latest News
Hashtags:   

Mtwara

 | 

apiga

 | 

marufuku

 | 

wapiga

 | 

kuwavuta

 | 

abiria

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources