Tuesday 31 March 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 7 days ago

Jafo:Wahitimu 2019 wanaotaka kubadili Tahasusi au kozi ruksa.

Serikali imetoa fursa kwa wanafunzi waliofaulu kidato cha nne mwaka 2019 na wanaotegemea kujiunga na kidato cha tano pamoja na vyuo kwa mwaka 2020 kubadilisha Tahasusi(Combination) au kozi ,kuanzia 25 Machi 2020 hadi tarehe 19 April ,2020 kabla zoezi ya kuwapangia shule na vyuo kuanza.


Latest News
Hashtags:   

Wahitimu

 | 

wanaotaka

 | 

kubadili

 | 

Tahasusi

 | 

ruksa

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources