Tuesday 31 March 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 9 days ago

Kaya Zaidi 770 wilayani Kilosa zazingirwa na maji

Jumla ya kaya zaidi ya 770 katika kijiji cha Kitete Msindazi wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro zimezingirwa na maji na kati hizo 14 zikibomoka kabisa huku ekari ambazo idadi yake haikufahamika mara moja za mazao mbalimbali ikiwemo miwa, mahindi, mpunga pamoja na migomba yakiharibiwa na maji.


Latest News
Hashtags:   

Zaidi

 | 

wilayani

 | 

Kilosa

 | 

zazingirwa

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources