Tuesday 31 March 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 16 days ago

Mbio za Mwenge wa Uhuru zaahirishwa kujihami na Corona.

Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameahirisha Mbio za Mwenge wa Uhuru za mwaka huu zilizopangwa kuzinduliwa tarehe 02 Aprili, 2020 huko Unguja, Zanzibar kwa lengo la kuchukua tahadhari ya kusambaa kwa virusi vya ugonjwa wa Corona (Covid-19) endapo utaingia hapa nchini.


Latest News
Hashtags:   

Mwenge

 | 

Uhuru

 | 

zaahirishwa

 | 

kujihami

 | 

Corona

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources