Tuesday 31 March 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 16 days ago

Tishio la Korona, Ramaphosa apiga Stop wageni kuingia Afrika Kusini.

Kauli hiyo ameitoa leo wakati akilihutubia taifa ambapo amesema wageni wanaotoka katika mataifa ambayo yamekumbwa na virusi vya Corona ikiwemo Uingereza, China, Ujerumani, Irani, na maeneo mengine ambayo ugonjwa huo umefika hawataruhusiwa kuingia nchini humo.


Latest News
Hashtags:   

Tishio

 | 

Korona

 | 

Ramaphosa

 | 

apiga

 | 

wageni

 | 

kuingia

 | 

Afrika

 | 

Kusini

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources