Tuesday 31 March 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 17 days ago

Mama aua mwanae wa miezi tisa kwa kumnyonga Mwanza

Jeshi la polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu wawili akiwemo Helena Nestori mwenye umri wa miaka 19 ambaye ni mama wa mtoto wa miezi tisa na mpenzi wake Jackson Jajanja wakazi wa kijiji cha Bukembe tarafa ya Nyamilama wilaya ya Kwimba kwa kumnyonga hadi kufa mtoto huyo,ili mama huyo aweze kuolewa na mwanaume huyo ambaye si baba wa mtoto kwa mujibu wa makubaliano yao


Latest News
Hashtags:   

mwanae

 | 

miezi

 | 

kumnyonga

 | 

Mwanza

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources