Tuesday 31 March 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 17 days ago

Biteko aonyesha kutofurahishwa na miradi ya Liganga na Mchuchuma

Waziri wa madini, Dotto Biteko ameonyesha kutofurahishwa na mkataba wa muda mrefu usio na maslahi kwa taifa wa uchimbaji wa madini ya chuma cha Liganga na makaa ya mawe ya Mchuchuma uliopo wilayani Ludewa mkoani Njombe ambao umepelekea kuchelewa kuanza shughuli za uchimbaji kwa muda mrefu sasa.


Latest News
Hashtags:   

Biteko

 | 

aonyesha

 | 

kutofurahishwa

 | 

miradi

 | 

Liganga

 | 

Mchuchuma

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources