Tuesday 31 March 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 22 days ago

Polisi kuchunguza kwa kina waliomuwekea sumu Mangula.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Bwana Lazaro Mambo Sasa amesema baada ya Polisi kupatiwa taarifa hiyo na viongozi wa Chama cha Mapinduzi, wameanza uchunguzi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na kutoa taarifa za awali za uchunguzi huo.


Latest News
Hashtags:   

Polisi

 | 

kuchunguza

 | 

waliomuwekea

 | 

Mangula

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources