Tuesday 31 March 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 25 days ago

Askari polisi 4 Mwanza wahojiwa kwa kukiuka maadili ya kazi.

Jeshi la polisi mkoani Mwanza linawahoji askari wake wanne kwa tuhuma za kukiuka maadili ya utendaji wao wa kazi wakati wa kumkamata mtuhumiwa mmoja wa uingizaji na uuzaji wa zana haramu za uvuvi katika ziwa Victoria.


Latest News
Hashtags:   

Askari

 | 

polisi

 | 

Mwanza

 | 

wahojiwa

 | 

kukiuka

 | 

maadili

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources