Tuesday 31 March 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 25 days ago

Mchakato wa katiba mpya ni kiporo kilichochacha - Bashiru.

Dokta Bashiri ametoa kauli hiyo wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari wa vyombo vya habari vya IPP Media baada ya kutembelea vyombo hivyo Mikocheni jijini Dar es Salaam na kuonya wanasiasa juu ya uchaguzi mkuu ujao.


Latest News
Hashtags:   

Mchakato

 | 

katiba

 | 

kiporo

 | 

kilichochacha

 | 

Bashiru

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources