Tuesday 31 March 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 26 days ago

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aishukia Somalia asema hatoivumilia.

Kulingana na taarifa ya Serikali mapigano kati ya wanajeshi wa Somalia na wale wa Jubaland yalisababisha askari wa Somalia kuingia katika mji wa mpaka wa Kenya wa Mandera, na kuharibu mali za raia na kuwatishia usalama wakazi wa mji huo.


Latest News
Hashtags:   

Uhuru

 | 

Kenyatta

 | 

Kenya

 | 

aishukia

 | 

Somalia

 | 

asema

 | 

hatoivumilia

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources