Tuesday 31 March 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 29 days ago

Erdoğan afungua mipaka kuruhusu wahamiaji na wakimbizi kutoka Syria.

Erdoğan pia amesema anatumai kufikia mkataba wa kusitisha mapigano nchini Syria atakapokutana na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin baadaye wiki hii kufuatia kuongezeka kwa mapigano katika ngome ya mwisho ya waasi ya Idlib.


Latest News
Hashtags:   

Erdoğan

 | 

afungua

 | 

mipaka

 | 

kuruhusu

 | 

wahamiaji

 | 

wakimbizi

 | 

kutoka

 | 

Syria

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources