Tuesday 31 March 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 30 days ago

Simba na tembo wavamia kijiji Bunda wala mifugo na kuharibu mazao.

Wafugaji na wakulima wa kijiji cha Mihale wilayani Bunda mkoani Mara wamelalamikia simba na tembo kuvamia mashamba na makazi yao huku ngombe na kondoo zaidi ya 43 wakiwa wameuawa na kuliwa na simba.


Latest News
Hashtags:   

Simba

 | 

tembo

 | 

wavamia

 | 

kijiji

 | 

Bunda

 | 

mifugo

 | 

kuharibu

 | 

mazao

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources