Saturday 22 February 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 8 days ago

Watu 80 watengwa na kupigwa marufuku kupata huduma na kijiji Rukwa.

Familia moja yenye kaya saba katika kijiji cha Katete wilayani Nkasi mkoani Rukwa wameiomba serikali kuingilia kati maamuzi ya wakazi wa kijiji hicho ambao wameamua kuwatenga na kuwapiga marufuku kupata huduma yoyote


Latest News
Hashtags:   

watengwa

 | 

kupigwa

 | 

marufuku

 | 

kupata

 | 

huduma

 | 

kijiji

 | 

Rukwa

 |