Saturday 22 February 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 9 days ago

Ajali yaua wanafunzi watano Ruvuma.  

Wanafunzi watano wa shule ya msingi Ndelenyuma katika halmashauri ya wilaya ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma wamefariki dunia na mwingine kujeruhiwa  baada ya  kugongwa na gari aina ya Toyota Land Cruiser la kampuni ya Kamsat.


Latest News
Hashtags:   

Ajali

 | 

wanafunzi

 | 

watano

 | 

Ruvuma

 |