Saturday 22 February 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 13 days ago

Watu sita wafariki baada ya nyumba waliyokuwa wamelala kuchomwa moto.

Watu sita wawili wakiwa ni  mama na watoto wao wamefariki dunia baada ya nyumba waliyokuwa wamelala kuchomwa moto usiku wa manane na kuteketea katika kitongoji cha Uponda kata ya Mjawa wilayani Kibiti mkoani Pwani. 


Latest News
Hashtags:   

wafariki

 | 

baada

 | 

nyumba

 | 

waliyokuwa

 | 

wamelala

 | 

kuchomwa

 |