Saturday 22 February 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 15 days ago

AJali ya Basi na Lori yajeruhi 10, wawili kati yao wapo mahututi.

Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya, ambaye pia ni diwani wa kata ya Inyala, Mhe.Mwalingo Kisemba amesema ushahidi wa awali unaonesha kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa basi la kampuni ya Premier.


Latest News
Hashtags:   

AJali

 | 

yajeruhi

 | 

wawili

 | 

mahututi

 |