Saturday 22 February 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 16 days ago

Membe awasili makao makuu CCM/aahidi kuzungumza mara baada ya kutoka

Hatimaye aliyekuwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mhe.Benard Membe amewasili ili kuhojiwa na kamati ya maadili ya chama cha mapinduzi (CCM) mjini Dodoma kutokana na tuhuma zinazomkabili ikiwa ni takribani miezi miwili tangu kutolewa kwa agizo la kumhoji Membe na vigogo wengine ndani ya chama hicho


Latest News
Hashtags:   

Membe

 | 

awasili

 | 

makao

 | 

makuu

 | 

aahidi

 | 

kuzungumza

 | 

baada

 | 

kutoka

 |