Saturday 22 February 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 17 days ago

Nyuki wazua taharuki shuleni ,17 wajeruhiwa.

Zaidi wanafunzi 400 wa shule ya msingi Imman iliyopo kata ya Kilakala katika manispaa ya Morogoro wamepatwa na taharuki baada ya kuvamiwa na kundi kubwa la nyuki lililokurupushwa na mafundi rangi waliokuwa wakikarabati baadhi ya majengo ya shule.


Latest News
Hashtags:   

Nyuki

 | 

wazua

 | 

taharuki

 | 

shuleni

 | 

wajeruhiwa

 |