Saturday 22 February 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 19 days ago

Wanafunzi waliofutiwa matokeo ya darasa la saba wamlilia rais Magufuli

Wanafunzi 103 wa shule ya msingi Muungano katika halmashauri ya wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, waliofutiwa matokeo ya mtihani wa darasa la saba mwaka 2019, wamemuomba rais Dkt. John Pombe Magufuli kuwafungulia matokeo yao ama kupewa nafasi ya kurudia darasa kwa madai hawalewi sababu zilizowafanya wafutiwe matokeo yao.


Latest News
Hashtags:   

Wanafunzi

 | 

waliofutiwa

 | 

matokeo

 | 

darasa

 | 

wamlilia

 | 

Magufuli

 |