Saturday 22 February 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 23 days ago

Wananchi wavamia kituo cha polisi Geita, wanne wapigwa risasi

Watu wanne wamejeruhiwa kwa kupigwa risasi na askari wa jeshi la polisi Mkoani Geita baada ya kundi la watu zaidi ya mia tatu kutoka kijiji cha Kibela kudaiwa kuvamia kituo cha polisi cha Nyawilimilwa usiku kwa lengo la kumtorosha mtuhumiwa anayedaiwa kuhamasisha migogoro ya ardhi katika eneo hilo.


Latest News
Hashtags:   

Wananchi

 | 

wavamia

 | 

kituo

 | 

polisi

 | 

Geita

 | 

wanne

 | 

wapigwa

 | 

risasi

 |