Saturday 22 February 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 23 days ago

Wanaoishi mabondeni wilaya ya Kilwa watakiwa kuondoka

Mkuu wa wilaya ya Kilwa mkoani Lindi,Bw.Christopher Ngubiagai, amewataka wananchi wilayani humo,ambao bado wako mashambani maeneo ya mabondeni kuondoka mara moja katika maeneo hayo kwani mvua zinanyesha bado na zitaendelea kunyesha kwenye maeneo mbalimbali wilayani Kilwa.


Latest News
Hashtags:   

Wanaoishi

 | 

mabondeni

 | 

wilaya

 | 

Kilwa

 | 

watakiwa

 | 

kuondoka

 |