Saturday 22 February 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 25 days ago

Machinjio ya Halmashauri ya Meru yafungiwa kwa muda usiojulikana.

Msajili wa Bodi ya Nyama nchini, Bwana Imani Sichalwe ametaja moja ya sababu kubwa  ya kufunga machinjio hiyo kuwa ni pamoja na kuwakuta watendaji wakichakata nyama chini ya ardhi na pia utiririshaji wa maji machafu.


Latest News
Hashtags:   

Machinjio

 | 

Halmashauri

 | 

yafungiwa

 | 

usiojulikana

 |