Saturday 22 February 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 25 days ago

Watu 10 wafariki kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha Lindi.

Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Bwana Godfrey Zambi amesema mpaka sasa vikosi vya uokoaaji vimefanikiwa kuwaokoa watu 1,531 tu, kati ya watu Elfu kumi na tano wanaodaiwa kuathirika na mafuriko hayo.


Latest News
Hashtags:   

wafariki

 | 

kutokana

 | 

zinazoendelea

 | 

kunyesha

 | 

Lindi

 |