Saturday 22 February 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 26 days ago

Kobe Bryant na bintiye wafariki kwa ajali ya Helikopta

Nyota wa mpira wa kikapu nchini Marekani Kobe Bryant na binti yake Gianna wamefariki dunia katika ajali ya Helikopta iliyotokea katika mji wa  Calabasas, California ambapo inaeleza jumla ya watu tisa wamepoteza maisha katika ajali hiyo.


Latest News
Hashtags:   

Bryant

 | 

bintiye

 | 

wafariki

 | 

ajali

 | 

Helikopta

 |