Saturday 22 February 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 29 days ago

Prof.Mbarawa alia wizi,uzembe,usimamizi mbovu miradi ya maji

Kutokana na kukithiri kwa vitendo vya wizi,uzembe na usimamizi mbovu  katika miradi mikubwa ya maji hapa nchini, waziri wa  maji Profesa Makame Mbarawa amekiagiza chuo cha maji kufundisha uzalendo, nidhamu na maadili  ili kuondoa tatizo hilo.


Latest News
Hashtags:   

Mbarawa

 | 

uzembe

 | 

usimamizi

 | 

mbovu

 | 

miradi

 |