Saturday 22 February 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 1 month ago

Wananchi wachanga fedha na kutengeneza kivuko cha miti

Wananchi katika kijiji cha Utengule kata ya Mambwenkoswe wilayani Kalambo mkoani Rukwa wamelazimika kuchangishana fedha na kujenga kivuko cha miti  katika mto  Mlenje baada ya mto huo kujaa maji wakati wa masika na kusababisha wanafunzi pamoja na wakazi wengine kushindwa kuvuka na hivyo  kukatika kwa mawasiliano na kuiomba serikali kupitia wakala wa barabara vijijini na mijini TARURA kujenga daraja la kudumu.


Latest News
Hashtags:   

Wananchi

 | 

wachanga

 | 

fedha

 | 

kutengeneza

 | 

kivuko

 |