Saturday 22 February 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 1 month ago

Waendesha pikipiki Arumeru walalamikia kutekwa na kuporwa pikipiki

Waendesha pikipiki wilayani Arumeru  mkoani  Arusha wamelalamikia kuibuka  kwa mtandao wa  watu wanaokodisha pikipiki zao  na baadaye  kuwateka, kupora na  kuwaua jambo linalosababisha washindwe  kufanya kazi  kwa  amani  hasa  nyakati za usiku na wameomba serikali kufuatilia na kukomesha mtandao huo.


Latest News
Hashtags:   

Waendesha

 | 

pikipiki

 | 

Arumeru

 | 

walalamikia

 | 

kutekwa

 | 

kuporwa

 | 

pikipiki

 |