Saturday 22 February 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 2 month ago

Wataalamu wafundisheni wananchi kufuga wanyamapori .Rais Magufuli.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametoa wito kwa Watanzania wengi zaidi kujitokeza kufuga wanyamapori kupitia bustani za wanyama (Zoo), ili kuongeza idadi ya wanyama hao na hivyo kupanua fursa za utalii na ajira.


Latest News
Hashtags:   

Wataalamu

 | 

wafundisheni

 | 

wananchi

 | 

kufuga

 | 

wanyamapori

 | 

Magufuli

 |