Saturday 22 February 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 2 month ago

Mtu mmoja akamatwa akiwa na mihuri ya taasisi za umma mkoani Mbeya

Mtu mmoja ambaye ametambuliwa kwa jina la Abraham Obed anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Mbeya baada ya kukamatwa akiwa na mihuri 66 ya taasisi mbalimbali za umma ikiwemo mahakama, polisi na benki anayodaiwa kuitumia kutengeneza nyaraka feki na kujipatia kipato


Latest News
Hashtags:   

mmoja

 | 

akamatwa

 | 

akiwa

 | 

mihuri

 | 

taasisi

 | 

mkoani

 | 

Mbeya

 |