Tuesday 28 January 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 2 month ago

Watu wawili wapoteza maisha kwa kusadikiwa kula chakula chenye Mwanza

Watu wawili  wamefariki dunia  kati ya  watu ishirini na tano wa familia tofauti waliosadikiwa kula chakula chenye sumu katika kijiji cha Busumba kata ya Bwiro wilayani Ukerewe mkoani Mwanza walichokinunua kutoka kwa wafanyabiashara wanaoingiza chakula kutoka mikoa mbali mbali kutokana na upungufu wa chakula.


Latest News
Hashtags:   

wawili

 | 

wapoteza

 | 

maisha

 | 

kusadikiwa

 | 

chakula

 | 

chenye

 | 

Mwanza

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources