Tuesday 28 January 2020
Home      All news      Contact us      English
itv - 2 month ago

Rais Magufuli atoa siku 60 kwa taasisi na mashirika yasiyotoa gawio. 

Amemuagiza Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango kuhakikisha taasisi, mashirika ya umma na kampuni hizo 187 zinawasilisha gawio lake ndani ya muda huo vinginevyo achukue hatua.


Latest News
Hashtags:   

Magufuli

 | 

taasisi

 | 

mashirika

 | 

yasiyotoa

 | 

gawio

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources