Thursday 5 December 2019
Home      All news      Contact us      English
itv - 22 days ago

Wasichana waozeshwa kwa marehemu ili kukuza ukoo mkoani Mara.

Hadija Isaro ni miongoni mwa kundi la wasichana Wakikurya aliyeozeshwa kwa mtu aliyekufa Chacha Ntakamazi ambaye aliuawa kwa kuchomwa kisu tumboni mwaka 2013 ambapo mwaka 2014 Hadija akiwa na umri wa miaka 15 aliolewa na marehemu huyo pasipo kujua kwa mahari ya Ng ombe 11.


Latest News
Hashtags:   

Wasichana

 | 

waozeshwa

 | 

marehemu

 | 

kukuza

 | 

mkoani

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources