Thursday 5 December 2019
Home      All news      Contact us      English
itv - 23 days ago

Michezo ya kubahatisha kuunganishwa na TEHAMA kudhibiti urahibu .

Naibu waziri wa fedha  na Mipango Dk.Ashatu Kijaji amesema Serikali iko mbioni kuunganisha michezo yote ya kubahatisha katika mfumo wa tehama ili kurahisisha ili kukabiliana na athari hasi zinazoambatana na michezo ya kubahatisha.


Latest News
Hashtags:   

Michezo

 | 

kubahatisha

 | 

kuunganishwa

 | 

TEHAMA

 | 

kudhibiti

 | 

urahibu

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources