Sunday 17 November 2019
Home      All news      Contact us      English
itv - 9 days ago

Mkurugenzi wa jiji la Mwanza anusurika kupigwa na machinga

Wafanyabiashara wadogo maarufu machinga waliopo pembezoni mwa barabara ya Pamba na mtaa wa Sokoni jijini Mwanza, ambao wanatakiwa kuhamia soko kuu la muda eneo la kata ya Mbugani, wamezua tafrani baada ya kutaka kumshambulia mkurugenzi wa halmashauri ya jiji hilo Kiomoni Kibamba wakati akitoa maelekezo ya kuwataka kupisha maeneo hayo.


Latest News
Hashtags:   

Mkurugenzi

 | 

Mwanza

 | 

anusurika

 | 

kupigwa

 | 

machinga

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources