Sunday 17 November 2019
Home      All news      Contact us      English
itv - 10 days ago

Waganga wa jadi waitwa Tunduru kufukuza Tembo mashambani

Wananchi wilayani Tunduru mkoani Ruvuma wanaendelea kusumbuliwa na Tembo wanaoharibu mazao yao na kusababisha vifo  ambapo kutokana na changamoto hizo baadhi yao wameanza kuwaita waganga wa jadi kusaidia  kuzuia na kuwafukuza tembo mashambani kwa njia za kishirikina.


Latest News
Hashtags:   

Waganga

 | 

waitwa

 | 

Tunduru

 | 

kufukuza

 | 

Tembo

 | 

mashambani

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources